WITO WA KUFUTA SHERIA YA SARAFU YA BITCOIN
Benki ya Mataifa ya Afrika ya Kati yenye makao makuu nchini Cameroon (BEAC) imeitaka Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kubatilisha sheria iliyopitisha mwishoni mwa mwezi Aprili iliyoidhinisha sarafu ya kidijitali ya Bitcoin kuwa sarafu rasmi. Benki hiyo ilionya katika barua iliyotangazwa kwa umma wik…
RAIS BUHARI AAGIZA WATUMISHI WA UMMA KUJIUZULU
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameagiza kuwa mawaziri wowote wanaotaka kugombea katika uchaguzi wa mwaka ujao wanapaswa kujiuzulu kabla ya Mei 16, waziri wa habari alisema Jumatano. Chini ya sheria ya uchaguzi ambayo ilirekebishwa Februari, hakuna wateule wa kisiasa wanaoruhusiwa kugombea mchuj…
WANAJESHI WANANE WAUAWA NA MAGAIDI KASKAZINI MWA TOGO
Wanajeshi wanane waliuawa na 13 kujeruhiwa katika shambulizi kaskazini mwa Togo siku ya Jumatano, serikali ilisema, ikiashiria uwezekano wa uvamizi wa kwanza wa mauaji katika taifa hilo na wanamgambo wa Kiislamu ambao wameua maelfu katika nchi jirani. Kabla ya mapambazuko, kundi la watu wenye sila…
KONGAMANO LA UWEKEZAJI WA NCHI ZINAZOPAKANA NA ZIWA TANGANYIKA
Nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika pamoja na Rwanda leo zimehitimisha kongamano la kimataifa la uwekezaji na biashara katika ukanda huo ambalo limefanyika mjini Kigoma nchini Tanzania, huku likiamsha ari ya kufanya mageuzi katika mahusiano ya kiuchumi na utatuzi wa changamoto za kisera katika nchi …
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA URUSI AKUTANA NA RAIS WA ALGERIA
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi alikutana jana Jumanne na rais wa Algeria, kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili kwa matumaini ya kuimarisha uhushirikiano wa mataifa hayo. Waziri wa Mambo ya Nje Sergey Lavrov aliwasilisha mwaliko kutoka kwa Rais wa Urusi Vladim…
WAZIRI WA NISHATI ATANGAZA RUZUKU YA DOLA 43 MILIONI
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Jumanne Mei 10, Serikali imetoa ruzuku ya shilingi 100 bilioni sawa na dola 43 milioni ili kupunguza bei ya mafuta nchini. Akizungumza Bungeni Bw Makamba alisema ruzuku hiyo itapunguza matumizi ya serikali kwa kipindi kilichosalia cha mwaka wa fedha 2021/…
ETHIOPA: Waziri Mkuu wa Ethiopia akanusha kuanzishwa mazungumzo na waasi wa TPLF
Waziri Mkuu wa Ethiopia Aby Ahmed anasema kuwa hakuna mazungumzo ambayo yameanza na chama cha wanaharakati wa ukombozi wa watu wa Tigray (TPLF) ili kumaliza mzozo kaskazini mwa nchi hiyo. Tamko hili ni kinyume na madai ya kiongozi wa TPLF Debretsion Gebremichael wiki iliyopita kwamba mazungumzo ya…
SOMALIA: IMF kuinyima fedha Somalia iwapo itachelewesha tena uchaguzi
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema huenda likasimamisha ushirikiano wake wa kifedha na serikali ya federali ya Somalia katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, iwapo nchi hiyo ya Pembe ya Afrika itaahirisha tena uchaguzi. Hayo yalisemwa Jumanne na Laura Jaramillo Mayor, Mkuu wa ofisi ya IMF nch…
MALI: Bunge la Mali laidhinisha muda wa mpito wa miaka mitano
Wabunge wa Mali siku ya Jumatatu waliidhinisha mpango unaoruhusu serikali ya kijeshi kutawala kwa miaka mitano, licha ya vikwazo vya kikanda vilivyowekwa kwa nchi hiyo kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi. Bunge linaloongozwa na jeshi pia liliamua kuwa rais wa mpito wa nchi hiyo hawezi kugombea…
BURKINA FASO: Mlipuko karibu na mgodi wa dhahabu waua watu 60 nchini Burkina Faso
Mlipuko mkubwa uliotokea karibu na mgodi wa dhahabu huko kusini magharibi mwa Burkina Faso umesababisha vifo vya watu 60 na kujeruhi wengine zaidi ya mia moja. Mlipuko huo umetokea katika ghala la mada za kemikali zinazotumiwa kusafishia madini ya dhahabu. Sansan Kambou ambaye ni mlinzi wa mazingi…