

Ethiopia yakamata shehena ya silaha kutoka Eritrea
Polisi nchini Ethiopia wanasema wamekamata maelfu ya risasi zilizodaiwa kutumwa na Eritrea kwa kundi mojawapo la waasi. Abedi Jean dela croix na dondoo zaidi.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anaongoza kati matokeo ya awali
Matokeo ya awali ya uchaguzi uliofanyika jana Alhamisi nchini Uganda yanaonyesha kuwa, Yoweri Museveni anaongoza kwa kura zilizohesabiwa kufikia sasa Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na aliyekuwa msimamizi wa idhaa ya Kiswahili ya channel Africa Mzee Mike Arereng kutoka Kampala-Uganda, amba…

Waasi wa MPRD wapigana na jeshi la serkali la kusababisha maafa
Watu wasiopungua sita wameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Chad na waasi wa MPRD kusini mwa nchi hiyo.Abedi Jean dela croix na mengi zaidi.

Serkali ya Drc imetembelea wakimbizi Nyarugusu Kigoma
Mawaziri na maafisa wa serikali ya DRC wakiongozwa na Waziri Eveliny Masudi wamewasili Kigoma kuwatembelea wakimbizi wa Drc katika kambi ya Nyarugusu. Mwandishi wetu Prosper Kwigize na ripoti kamili.

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa yuko ziarani Abu Dhabi
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, anatarajiwa kushiriki mkutano wa “Wiki ya Uendelevu ya Abu Dhabi”, katika Falme za Kiarabu.Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.

Ndege zisizo na rubani zashambulia raia wilayani Masisi-Drc
Wakazi wa wilaya ya Masisi mashariki mwa Drc, waendelea kuishi katika hali ya wasiwasi kufuatia mashambulizi ya ndege za kivita za serkali ya Kinshasa. Mwandishi wetu Austere Malivika na ripoti kamili kutoka Goma-Drc.

Serkali ya Somalia yakanusha madai ya Marekani kuhusu ghala ya chakula
Serikali ya Somalia imekanusha madai ya Marekani kuhusu kuharibiwa kwa ghala la msaada wa chakula Mogadishu nchini humo. Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.

Mabalozi wa magharibi wamelaani kauli ya kiongozi wa SPLM
Mabalozi wa mataifa ya Magharibi wamelaani agizo la kudaiwa kutolewa na kiongozi wa SPLM dhidi ya mashirika ya misaada Jonglei Kaskazini. Manasse bin Bendera na ripoti kamili.

Afrika Kusini - Serkali ya afrika kusini imesema haitaingilia kati suala la wahamiaji wazungu

Ivory Coast - Serkali ya Ivory Coast yajiuzulu
Ivory Coast: Serikali ya Ivory Coast imejiuzulu rasmi, na kufungua njia kwa baraza jipya la mawaziri kufuatia uchaguzi wa wabunge wa mwezi uliopita. Abedi Jean dela croix na ripoti kamili