Chad imefunga mpaka wake wa mashariki na Sudan, kufuatia mapigano ya mwishoni mwa wiki yaliyochochewa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan, ambapo wanajeshi watano wa Chad waliuawa.Manasse bin Bendera na mengi zaidi.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44