Uganda: Kauli ya mkuu wa majeshi ya Uganda imezua mjadala mkubwa kimataifa baada ya kuitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba.Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mmwandishi wetu Cassius Ochokombege kutoka Kampala-uagnda, Abedi alimuuliza kama kauli ya mkuu wa majeshi ya Uganda kuitaka Iran kuomba radhi, ni ya kawaida kidiplomasia au imevuka mipaka, Cassius alianza kwa kuelezea.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44

Burundi_ Jeshi la Burundi limetoa idadi ya maafa ya mlipuko wa ghala la kijeshi
04:29