Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Burundi_ Jeshi la Burundi limetoa idadi ya maafa ya mlipuko wa ghala la kijeshi

View descriptionShare

Burundi: Watu 13 wamefariki na 57 kujeruhiwa, wakiwemo askari watatu. Majengo pamoja na vifaa vya kijeshi na kiraia vimeharibika, huku baadhi ya miundombinu ya kijeshi ikiteketea kwa moto uliosababishwa na milipuko ya silaha kwenye ghala la jeshi mjini Bujumbura.Mwanahabari wetu Balen Havyarimana ana ripoti kamili kutoka Bujumbura-Burundi.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,460 clip(s)