Mikutano maalum imeanza Jumatatu hadi Jumatano wiki hii mjini Beni, kupitia harakati za Gavana wa Kivu Kaskazini Jemadari Eva Somo, kujadili suala nyeti la waasi wa ADF, kufuatia miaka ya mauaji na juhudi zisizozaa matunda.
Mwandishi wetu M’molelwa M’seke Dide na ripoti kamili kutoka Beni-Drc.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44