Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tunisia, Ali Larayedh, amehukumiwa kifungo cha miaka 24 jela kwa tuhuma za kuwezesha raia wa Tunisia kusafiri kwenda Syria kujiunga na makundi ya kijihadi katika muongo uliopita.
Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44