Drc: Wakazi wa mji wa Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wanaitaka serikali kufungua haraka mpaka kati ya nchi hiyo na Burundi ili kurahisisha shughuli za kijamii na kiuchumi.Awali Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wa habari wa kujitegemea Thomson Undji, Abedi alimuuliza kama kufungwa kwa mpaka huo kunaathiri kiasi gani wananchi wa kawaida, Thomson alianza kwa kueleza.

Uganda - Serkali ya Uganda kuanza kununua dhahabu mwezi huu
05:04

AU - Tahadhari kuhusu mataifa ya Afrika kukubwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za kiuchumi
06:24

Waziri mkuu wa zamani wa Tunisia Ali Layaredh ahukumiwa 24 jela
05:03