Viongozi wa Mkoa wa Kivu Kaskazini – Drc, katika maeneo yanayodhibitiwa na M23, wametoa wito kwa wakaazi wa mji wa mpakani wa Ishasha, ulioko kwenye mpaka kati ya Uganda na Drc, kujitenga na wapiganaji wa FDLR wanaodaiwa kupiga kambi katika hifadhi ya Taifa ya Virunga.
Mwandishi wetu Austere Malivika na ripoti kamili kutoka Drc.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44