Ethiopia: Rais wa Israeli Isaac Herzog amewasili Addis Ababa nchini Ethiopia hii leo, kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini humo.Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44