Tanzania: Tanzania inaelekea kunufaika na kupanda kwa kiwango kikubwa kwa bei ya dhahabu duniani.
Ayam Shekifu alifanya mahojinao na mwandishi wa habari wa kujitegemea Wilberforce Ngoto kutoka Dar es salaam-Tanzania, ambapo Wilberforce Ngoto alianza kwa kufafanua zaidi kuhusiana na taarifa hii.

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc
05:17

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini
06:04

Drc - Shirika la kikristo la Samaritan's purse litajenga kituo cha Ebola hivi karibuni Drc
05:16