Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini

View descriptionShare
 

Afrika Kusini: Serikali ya Ghana imeanza leo kuwarejesha raia wake kutoka Afrika Kusini kutokana na kuongezeka kwa chuki dhidi ya wahamiaji nchini hapa.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Asokolo Itabelo, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mkazi wa jiji la Durban, Abedi alimuuliza kama amepokeaje hatua hiyo ambayo imechukuliwa na serkali ya Ghana, Asokolo alianza kwa kutoa mtazamo wake.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,518 clip(s)