Drc: Shirika la misaada la Kikristo la “Samaritan’s Purse”, linatarajia kufungua ndani ya wiki moja kituo cha Ebola chenye uwezo wa vitanda 50 kaskazini mashariki mwa Drc.
Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Dieu Donne Lossa, yeye ni mwenyekiti wa mashirika ya kiraia kutoka Bunia mkoani Ituri-Drc, Abedi alimuuliza kama wao kama masharika ya kiraia wamepokeaje taarifa hizo, Dieu Donne Lossa alianza kwa kujibu.

Tanzania - Tanzania kunufaika kwa kiasi kikubwa na akiba yake ya dhahabu
05:52

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc
05:17

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini
06:04