Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc

View descriptionShare
 

Drc: Visa vya Ebola vinaendelea kuongezeka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, hali inayosababisha hofu kubwa miongoni mwa wananchi huku shughuli za kiuchumi zikiendelea kudorora.

Mwandishi wa habari wa kujitegema Germain Hassan Kyahwere ametuandalia ripoti ifuatayo kutoka Beni-Drc.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,518 clip(s)