Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16

View descriptionShare

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,326 clip(s)
Loading playlist

Kenya: Serikali ya Kenya imesema Wakenya 16 wamepotea nchini Urusi baada ya kujiunga na jeshi lake, huku wengine 47 wakirejea nyumbani kutoka vita vya Ukraine.Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Martin Wren, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka Nairobi-Kenya, Abedi alimuuliza kama kupotea kwa Wakenya 16 nchini Urusi kunaleta funzo gani kwa wakenya, Martin Wren alianza kwa kutoa mtazamo wake.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,460 clip(s)