Madereva na wamiliki wa magari nchini Malawi, wanalazimika kulala usiku katika vituo vya mafuta wakisubiri kupata mafuta, huku uhaba wa bidhaa hiyo ukirejea nchini humo.
Mwandishi wetu Richard Mwafulirwa na ripoti kamili.

Tanzania_ Mkutano wa mawaziri wa Afrika mashariki, kaskazini na kusini wafanyika
04:32

Drc_ Chama cha rais mstaafu Joseph Kabila na vingine 12 vimepigwa mafuruku
07:06

Kongamano la 26 la vyama vya ushirika vya akiba wafanyika Dar es salam
06:06