Tanzania: Mkutano wa kumi wa kawaida wa Baraza la Mawaziri la Shirika la Bahari la Mashariki, Kusini na Kaskazini mwa Afrika, MOESNA, umeanza rasmi Oktoba 15 mwaka 2026, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Mwandishi wetu Gabriel Zakaria na ripoti kamili.

Drc_ Chama cha rais mstaafu Joseph Kabila na vingine 12 vimepigwa mafuruku
07:06

Kongamano la 26 la vyama vya ushirika vya akiba wafanyika Dar es salam
06:06

Ghana imewarejesha raia 120 wa Nigeria nchini mwao
04:58