Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Uganda - Serkali ya Uganda kuanza kununua dhahabu mwezi huu

View descriptionShare

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,286 clip(s)
Loading playlist

Uganda: Benki Kuu ya Uganda itaanza mwezi huu mpango wa kununua dhahabu ndani ya nchi, ikiungana na mataifa mengine duniani yanayoongeza akiba ya dhahabu kufuatia kupanda kwa bei ya madini hayo.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wetu Cassius Ochokombege kutoka Kampala-Uganda, Abedi alimuuliza ni kwa nini benki kuu ya Uganda imeamua kuanza mpango huo, Cassius alianza kwa kufafanua zaidi.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,420 clip(s)