Mamlaka ya jiji la Kampala imetoa makataa ya siku 20 kwa wamiliki wa magari ya usafiri wa umma kuondoa magari chakavu barabarani, ikilenga kupunguza ajali na uchafuzi wa hewa.
Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44