Tanzania: Serikali ya Tanzania kupitia mfuko wa Dunia wa mabadiliko ya tabia nchi wameanza hatua za awali za kupanda miti na kuhamasisha kilimo mseto katika maeneo ambayo yameathiriwa na uwepo wa wakimbizi, ili kuwajengea uwezo wananchi kuhimili mabadiliko ya tabia nchi maggharibi mwa Tanzania.
Mwandishi wetu Prosper Kwigize na ripoti kamili.

Tanzania - Tanzania kunufaika kwa kiasi kikubwa na akiba yake ya dhahabu
05:52

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc
05:17

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini
06:04