Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Tanzania - Urejeshaji wa mazingira katika kambi za wakimbizi zilizofunga Tanzania

View descriptionShare
 

Tanzania: Serikali ya Tanzania kupitia mfuko wa Dunia wa mabadiliko ya tabia nchi wameanza hatua za awali za kupanda miti na kuhamasisha  kilimo mseto  katika maeneo ambayo yameathiriwa na uwepo wa wakimbizi, ili kuwajengea uwezo wananchi kuhimili mabadiliko ya tabia nchi maggharibi mwa Tanzania.

Mwandishi wetu Prosper Kwigize na ripoti kamili.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,518 clip(s)