Serikali ya Tanzania imesema mazungumzo kati yake na jumuiya ya wafanyabiashara yaliyodumu kwa takriban siku nne, yamekamilika na kukubaliana kusimamia maazimio 15 huku Hoja za wafanyabiashara zilikiwa 41.
Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44