Rwanda: Rwanda na Russia zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi na kiufundi katika sekta ya ulinzi.
Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wetu Sylvanus Karemera kutoka Kigali-Rwanda, Abedi alimuuliza ni kwa nini hatua hii imekuja baada ya Marekani kuliwekea vikwazo jeshi la Rwanda, Sylvanus alianza kwa kuelezea.

Tanzania - Tanzania kunufaika kwa kiasi kikubwa na akiba yake ya dhahabu
05:52

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc
05:17

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini
06:04