Matokeo ya awali ya uchaguzi uliofanyika jana Alhamisi nchini Uganda yanaonyesha kuwa, Yoweri Museveni anaongoza kwa kura zilizohesabiwa kufikia sasa Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na aliyekuwa msimamizi wa idhaa ya Kiswahili ya channel Africa Mzee Mike Arereng kutoka Kampala-Uganda, ambapo mzee Mike Arereng alianza kwa kueleza taswira ya zoezi nzima la uchaguzi.

Ethiopia yakamata shehena ya silaha kutoka Eritrea
05:39

Waasi wa MPRD wapigana na jeshi la serkali la kusababisha maafa
04:09

Serkali ya Drc imetembelea wakimbizi Nyarugusu Kigoma
06:31