Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Serkali ya Drc imetembelea wakimbizi Nyarugusu Kigoma

View descriptionShare

Mawaziri na maafisa wa serikali ya DRC wakiongozwa na Waziri Eveliny Masudi wamewasili Kigoma kuwatembelea wakimbizi wa Drc katika kambi ya Nyarugusu.
Mwandishi wetu Prosper Kwigize na ripoti kamili.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,368 clip(s)