Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Rais Samia Suluhu ametimiza wiki moja sasa tangu kuapishwa kwake

View descriptionShare

Ni wiki moja sasa imepita tokea kuapishwa Kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuongoza Katika muhula wake wa pili wa Miaka mitano ijayo.
Kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania, Mwandishi wetu Gabriel Zakaria ametutumia ripoti ifuatayo.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,460 clip(s)