Rais Museveni alikutana Ikulu Entebbe na Thomas Lubanga

View descriptionShare
 

Kiongozi wa kundi la waasi la Convention for the Popular Revolution “CPR”, Thomas Lubanga, amekutana na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, katika Ikulu ya Entebbe mwishoni mwa wiki iliyopita.

Awali, Abedi Jean Dela Croix alifanya mahojiano na aliyekuwa kiongozi wa Idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, Mzee Mike Arereng, kutoka Kampala nchini Uganda.

Abedi alimuuliza mkutano kati ya Thomas Lubanga, na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, ulihusu nini; Mzee Mike Arereng alianza kwa kuelezea umuhimu wa mkutano huo.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,686 clip(s)