Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Mwandishi wetu Prosper Kwigize amefanya mazungumzo na watu kadhaa kuhusu siku hii

View descriptionShare

Ikiwa leo dunia nzima inaadhmisha siku ya Radio kimataifa, nchini Tanzania radio hususani radio jamii zimetajwa kuendelea kuaminika na kutoa mchango mkubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kuongeza ajira kwa vijana.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,460 clip(s)