Kongamano la 26 la Afrika kuhusu vyama vya ushirika vya akiba na mikopo, linalojulikana kama SACCA Congress, linafanyika jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania.
Kongamano hilo linawakutanisha wadau wa vyama vya ushirika vya akiba na mikopo barani Afrika kujadili masuala yanayohusu sekta hiyo.
Mwandishi wetu Gabriel Zakaria na maelezo kamili.

Tanzania_ Mkutano wa mawaziri wa Afrika mashariki, kaskazini na kusini wafanyika
04:32

Drc_ Chama cha rais mstaafu Joseph Kabila na vingine 12 vimepigwa mafuruku
07:06

Ghana imewarejesha raia 120 wa Nigeria nchini mwao
04:58