Ripoti ya Oxfam inaonyesha kuwa ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya bado unakabiliwa na changamoto, zikiwemo ukosefu wa uwazi, ushirikishwaji mdogo wa jamii na utegemezi mkubwa wa fedha za nje.
Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Martin Wren, yeye ni mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka Nairobi-Kenya, Abedi alimuuliza kama ni sababu zipi kuu zinazosababisha ukosefu wa uwazi katika matumizi ya fedha za mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya, Martin Wren alianza kwa kueleza.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44