Mkuu wa polisi nchini Kenya ameagiza mabadiliko makubwa katika kikosi cha usalama cha Rais William Ruto baada ya mwanaume mmoja kuvuka ulinzi na kumfikia rais wakati alipokuwa akihutubia wafuasi wake
Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Martin Wren ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Nairobi-Kenya, Abedi alimuuliza kama mwanaume huyo aliwezaje kuvuka ulinzi wa Rais, Martin Wren alianza kwa kufafanua zaidi.

Tanzania - Tanzania kunufaika kwa kiasi kikubwa na akiba yake ya dhahabu
05:52

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc
05:17

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini
06:04