Kambi ya wakimbizi wa ndani yashambuliwa na wanamgambo wa Codeco Ituri

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,549 clip(s)
Loading playlist

Kambi ya watu waliolazimika kuyahama makazi yao katika eneo la Rhoo, wilaya ya Djugu, mkoani Ituri, ilishambuliwa Jumatatu ya wiki hii.

Shambulizi hilo linadaiwa kuhusishwa na wapiganaji wa kundi la wanamgambo la CODECO, huku eneo hilo likiendelea kukabiliwa na changamoto za kiusalama kama anavyothibitisha Oliva Bavikarba, msemaji ya wakimbizi mkoani Ituri nchini Drc

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,686 clip(s)