Vikosi vya serikali ya Ethiopia vimeanzisha mashambulizi kwa kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya wanajeshi wa Eritrea walioingia katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia, wakitokea upande wa mpaka.
Awali, Abedi Jean Dela Croix alifanya mahojiano na mwandishi wetu Coletta Wanjohi ili kupata maelezo zaidi kuhusu mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa na vikosi vya serikali ya Ethiopia dhidi ya wanajeshi wa Eritrea katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia, na namna hali hiyo inavyozidisha mvutano kati ya nchi hizo mbili jirani; Coletta Wanjohi alianza kwa kueleza hali ilivyo.

Tanzania_ Mkutano wa mawaziri wa Afrika mashariki, kaskazini na kusini wafanyika
04:32

Drc_ Chama cha rais mstaafu Joseph Kabila na vingine 12 vimepigwa mafuruku
07:06

Kongamano la 26 la vyama vya ushirika vya akiba wafanyika Dar es salam
06:06