Hotuba ya Rais mstaafu Joseph Kabila imezua maoni mseto DRC

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,549 clip(s)
Loading playlist

Aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila, amemkosoa mrithi wake, Rais Félix Tshisekedi, akidai kuwa utawala wake ni dhaifu. Kabila alitoa matamshi hayo katika hotuba yake Ijumaa iliyopita, Oktoba 9, na tangu wakati huo hotuba hiyo imeendelea kuzua maoni tofauti miongoni mwa wananchi wa Congo.

Mwandishi wetu M’molelwa M’seke Dide na ripoti kamili kutoka Beni-Drc.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,686 clip(s)