Ghana imewarejesha raia 120 wa Nigeria nchini mwao

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,549 clip(s)
Loading playlist

Serikali ya Ghana imewarejesha nchini Nigeria raia 120 wa nchi hiyo, waliookolewa na kukamatwa wakati wa operesheni ya pamoja ya vyombo vya usalama inayojulikana kama Operation Cyberhunt.

Operesheni hiyo inalenga kukabiliana na mitandao inayojihusisha na biashara haramu ya binadamu pamoja na uhalifu wa kimtandao nchini Ghana.

Manasse bin Bendera na mengi zaidi.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,686 clip(s)