Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Ethiopia - Afrika Kusini imechaguliwa na wanachama wa umoja wa afrika kuongoza baraza la amani na usalama

View descriptionShare

Ethiopia: Afrika Kusini imechaguliwa na nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kuhudumu kwa muhula wa miaka miwili katika Baraza la Amani na Usalama la chombo hicho cha bara.

Ayam Shekifu alifanya mahojiano na Nixon Katembo, Ayam alimuuliza ni masuala gani ambayo Afrika Kusini itayapa kipaumbele, Nixon alianza kwa kujibu.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,460 clip(s)