Drc: Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa kuwa vya Ebola, vikiwemo visa 101 vilivyothibitishwa, vimetambuliwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mwandishi wa habari wa kujitegemea Germain Hassan Kyahwere na ripoti kamili.

Tanzania - Tanzania kunufaika kwa kiasi kikubwa na akiba yake ya dhahabu
05:52

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc
05:17

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini
06:04