Drc: Tani karibu 100 za vifaa vya dharura zimepelekwa mashariki mwa DRC huku Shirika la Afya Duniani WHO likionya kuhusu hatari kubwa ya kusambaa kwa Ebola katika ukanda huo.
Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Dieu Donne Lossa, ambaye ni mwenyekiti wa mashirika ya kiraia mkoani Ituri, Abedi alimuuliza kama taarifa zenyewe zikoje kiundani, Dieu Donne Lossa alianza kwa kuelezea.

Tanzania - Tanzania kunufaika kwa kiasi kikubwa na akiba yake ya dhahabu
05:52

Drc - Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu na kusababisha uchumi kudorora Drc
05:17

Afrika Kusini - Ghana yaanza kurejesha wananchi wake kutoka Afrika Kusini
06:04