Drc: Toleo la tatu la Jukwaa la Uchumi kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Angola limefunguliwa Jumatano, Aprili Mosi 2026 mjini Kinshasa, likiwakutanisha viongozi wa kisiasa, wataalamu na wafanyabiashara kutoka nchi zote mbili.Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mbunge mstaafu wa Drc Mhe. Kizerbo Kasereka kutoka Kinshasa-Drc, Abedi alimuuliza kama kongamano hili lina umuhimu gani katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya DRC na Angola, Mhe. Kizerbo Kasereka alianza kwa kuelezea.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Burundi_ Jeshi la Burundi limetoa idadi ya maafa ya mlipuko wa ghala la kijeshi
04:29