Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Botswana: Kongamano la utali Afrika limemalizika hii leo mjini Gaborone-Botswana

View descriptionShare

 Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Uongozi wa Utalii Afrika 2024 unaowaleta pamoja viongozi wa sekta ya utalii umemalizika hii leo Gaborone, Botswana.

Ayam Shekifu alifanya mahojiano na Devota Mdachi, ambaye ni mjasiriamali na alihudhuria kongamano hilo kutoka Gaborone-Botswana, Devota alianza kwa kutoa taswira kuhusu kongomano hilo.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,438 clip(s)