Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Rais wa Tanzania atoa wito wa mfumo wa kodi

View descriptionShare

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ametoa wito mkubwa wa mfumo wa kodi wa haki, uwazi, na thabiti ulioundwa ili kuondoa ukandamizaji dhidi ya walipa kodi huku ukikuza ukuaji wa uchumi.Ayam Shekifu alifanya mahojiano na Jerry Muro, yeye ni mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka Tanzania, Ayam alimuuliza kama taarifa hizi zikoje, Jerry Muro alianza kwa kufafanua zaidi.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,438 clip(s)