Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Marekani imewaalika wakuu wa serkali wa Drc na Rwanda

View descriptionShare

Marekani imewaita viongozi wakuu wa DRC na Rwanda mjini Washington nchini Marekani, kwa mazungumzo kuhusu mchakato wa amani uliokwama mashariki mwa Drc.Ayam Shekifu alifanya mahojiano na Omar Kavota, ambaye ni mchambuzi wa siasa za Drc na maziwa makuu kutoka Beni-Drc, ambapo Omar Kavota alianza kwa kufafanua zaidi kuhusiana na taarifa hii.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,438 clip(s)