AU: Wataalamu wa masuala ya kimataifa wanaonya kuwa nchi za Afrika huenda zikaanza kuhisi athari barani humo, hasa katika bei za mafuta, gharama za chakula na uhusiano wa kidiplomasia.
Kulichambua hili Ayam Shekifu alifanya mahojiano na Navile Meena, ambaye ni mchambuzi huru kutoka Dar es salaam-Tanzania, ambapo Navile Meena alianza kwa kutoa mtazamo wake.

Uganda - Serkali ya Uganda kuanza kununua dhahabu mwezi huu
05:04

Waziri mkuu wa zamani wa Tunisia Ali Layaredh ahukumiwa 24 jela
05:03

M23 watoa wito kwa wakazi wa Ishasha kujitenga na wanamgambo wa FDLR
06:13