Aliyekuwa Rais wa Drc Joseph Kabila aanzisha vuguvugu la kijeshi na kisiasa

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,549 clip(s)
Loading playlist

Aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila, ametangaza kuunda muungano mpya wa kisiasa na kijeshi pamoja na waasi wa kundi la M23, wanaoungwa mkono na Rwanda.

Mwandishi wetu Austere Malivika na ripoti kamili kutoka Goma-Drc.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,686 clip(s)