Wakulima wa machungwa Afrika Kusini, wanaripoti uhaba mdogo wa dizeli huku wakijiandaa na kupanda kwa bei ya mafuta, hali inayoweza kuathiri msimu wa usafirishaji wa matunda nje unaoanza Aprili.Manasse bin Bendera na ripoti kamili.

Kenya_ Idadi ya Wakenya waliuawa katika vita vya Urusi na Ukraine yafika 16
06:02

Uganda_ Muhoozi Kainerugaba imeitaka Iran kuomba radhi ndani ya siku saba
05:28

Drc_ Kongamano la kiuchumi kati ya Drc na Angola
04:44