Mapema wiki hii tume huru ya uchaguzi nchini Kenya, Ilisema kwamba ahiko tayari kuandaa uchaguzi mkuu nchini humo kama inavyotarajiwa na wakenya wengi.
Mbali na hayo, Rais wa nchi hiyo anayemaliza mda wake madarakani Uhuru Kenyatta siku za hivi karibuni, alidai kumuunga mkono katika uchaguzi huo kiongozi wa upinzani, kauli ambayo inaendelea kuzusha hisia tofauti nchini Kenya.
Nini mustakabali wa kisiasa nchini kenya kuelekea uchaguzi?
Je hii inahashiria nini katika siasa za nchi hiyo?
Waalikwa wetu watajibu maswali yote hayo na mengine kibao.