A news and current affairs show produced live by the current affairs team.
1,066 clip(s)
Loading playlist
Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast Guillaume Soro ahukumiwa kifungo cha maisha. Waziri mkuu huyo wa zamani wa Ivory Coast alipatikana na hatia ya makosa ya uhaini na pia kuhatarisha usalama wake rais wan chi hiyo.Taarifa ya hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Guillaume Soro ilitolewa wakati akiwa hayupo mahakamani, nchini Ivory Coast.