Kumekuwa na maoni mseto miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kuhusu nia ya Rwanda kuondoa vikosi vyake nchini humo.
Hatua hiyo imeendelea kuzua wasiwasi na mjadala miongoni mwa wananchi wa DRC. Abedi Jean de la Croix alifanya mahojiano na Esaie Katasi kutoka Beni-Drc, yeye ni mchambuzi wa masuala ya siasa, Abedi alimuuliza mtazamo wake kuhusiana na vikosi vya Rwanda kuendelea kuwepo Drc, Esaie Katasi alianza kwa kuelezea.

Burundi - Vijana kupambana na uhaba wa ajira Burundi
06:46

Malawi - Kupanda kwa ada ya vyuo kumeleta mjadala mkubwa katika jamii nchini Malawi
06:05

Drc- Wakazi wengi wa wilaya ya Kalehe watoa wa wito wa amani
05:24