Drc: Wakaazi wa vijiji mbalimbali wilayani kalehe mapakani mwa Kivu kusini na kaskazini wanaoshambuliwa na makundi yenye silaha waomba usalama kuimarishwa na kushindikizwa kimaisha kutokana na maisha magumu wanayopitia kutokana na machafuko mashariki mwa Congo kwa muda mrefu,wengi wao wakiwa wakulima na wafugaji.
Austere Malivika na ripoti Zaidi kutoka Kalehe Kalungu .

Burundi - Vijana kupambana na uhaba wa ajira Burundi
06:46

Malawi - Kupanda kwa ada ya vyuo kumeleta mjadala mkubwa katika jamii nchini Malawi
06:05

Bei ya mazao imepanda kutokana na mipaka kufungwa kwa sababu za Ebola
04:22