Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Wasiwasi miongoni mwa wananchi kutoka na kuendelea kuwepo askari wa Rwanda

View descriptionShare
 

Kumekuwa na maoni mseto miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kuhusu nia ya Rwanda kuondoa vikosi vyake nchini humo.

Hatua hiyo imeendelea kuzua wasiwasi na mjadala miongoni mwa wananchi wa DRC. Abedi Jean de la Croix alifanya mahojiano na Esaie Katasi kutoka Beni-Drc, yeye ni mchambuzi wa masuala ya siasa, Abedi alimuuliza mtazamo wake kuhusiana na vikosi vya Rwanda kuendelea kuwepo Drc, Esaie Katasi alianza kwa kuelezea.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,569 clip(s)